JINSI YA KUTATUA TATIZO LA FACEBOOK KUSHINDWA KUKATA PESA YA MATANGAZO
Kama uliwa kuboost au kupromote matangazo yako Facebook, lakini baada ya muda akaunti yako ya malipo ikakataliwa kuendelea kurusha matangazo kwa sababu ya kudaiwa pesa. Download hapa PDF ua Audio niliofafanua hatua na jinsi ya kutatua tatizo lako.
Nimekuwa nikiendesha matangazo mtandaoni kwa muda mrefu sasa, njia nilizoeleza hapa ni njia za uhakika kabisa .