Refer a friend and get % off! They'll get % off too.

Edwaya 001

Kitabu hiki kimeandikwa na Yaki Edward, mwanzilishi wa Edwaya. Edwaya 001 kinabeba dhumuni kuu la Edwaya, ambalo ni kumsaidia msomaji kuboresha maisha yake binafsi, kuinua biashara yake, na kuimarisha mahusiano yake (na wale walio wa thamani kwake).

Ni kitabu cha kwanza miongoni mwa mfululizo wa vitabu vingi vya Edwaya, na hivyo kupewa jina la Edwaya 001, na kitabu kinachofuata baada hiki ni Edwaya 002.

Kitabu hiki kimetolewa bure, na hakiuzwi.

Kipokee kama zawadi yetu, kwako.

Karibu Edwaya.

You will get a PDF (474KB) file

$ 0.00

This item is free.

Download Now

Discount has been applied.

Added to cart