Your Cart
Loading

eBook App

On Sale
$5.00
$5.00
Added to cart
eBook App (PHP & MYSQL)
Je unahitaji kumiliki website ya vitabu, ambayo inakuwa na member wengi kupitia kujisign na member anaweza kuupload kitabu kwa kuweka picha ya kitabu na link ambayo itakupeleka kupakua kitabu hicho au labda member anahitaji kushare noti za masomo au mitihani kwa kuuza au kuweka free link kupitia hii website ya eBook.
Pia admin anaweza kuupdate au kudelete kitabu ambacho member amekiweka, ikiwa link ya kitabu alichoweka inakuwa siyo ya kweli au kuweka link za ads au kupeleka kwenye mambo yasiyofaa. Admin anaweza kuverified au kuunverified kitabu ambacho member amekiupload kwa kuweka link isiyofaa.
eBook App
Admin
Username: admin
Password: admin
eBook App
Demo
You will get a ZIP (969KB) file