KCSE-TOPICAL NOTES KISWAHILI
On Sale
€2.00
€2.00
Lugha ya Kiswahili imeendelea kuwa maarufu kila kuchapo; nakala hii ni mwongozo wa mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza ,hadi cha nne. Baadhi ya masomo ambayo yamejumlishwa kwenya nakala hii ni;Fasihi simulizi , Isimu jamii, Lugha, Ushairi , na uchambuzi wa kitabu cha chozi la heri. Natumai utafaidika kwa kutumia masomo haya ambayo yako kwa cd. Vilevile nakala hii yaweza kutumiwa na walimu wa Kiswahili kutayarisha wanafunzi kujiandaa katika mtihani wa kitaifa.