Ajira Tanzania (PHP & MYSQL)
On Sale
$5.00
$5.00
Ajira Tanzania ni website ambayo mtu anaweza kujisajili na kuaomba kazi kwenye kampuni ambazo zimejisajili kwenye website hii, na mtu ambaye amejisajili anaweza kuweka CV zake za elimu kwa mfumo wa PDF.
Pia kampuni ambayo imejisajili itakuwa na urahisi wa kupata mtu ambaye anafaa kwenye nafasi husika na mwenye vigezo.
Angalia mengine zaidi ndani ya Ajira Tanzania kwenye demo website hapa
Pia kampuni ambayo imejisajili itakuwa na urahisi wa kupata mtu ambaye anafaa kwenye nafasi husika na mwenye vigezo.
Angalia mengine zaidi ndani ya Ajira Tanzania kwenye demo website hapa