PROGRAM YA HAIIBA YA KUSAFISHA FIGO NA KUZIREJESHA KATIKA UTENDAJI KAZI WA KAWAIDA
Je, unatafuta njia ya asili ya kusaidia figo zako kupona na kufanya kazi vizuri? Programu ya Kusafisha Figo ya Haiiba ni mwongozo kamili wa kidijitali (PDF) unaokupa mpango rahisi wa lishe na tiba asili uliobuniwa kusaidia kusimamisha maendeleo ya matatizo ya figo na kurejesha taratibu utendaji kazi wake.
Ndani ya kijitabu hiki utapata:
Mpango wa chakula cha kila siku wenye viungo maalum vya kuufanya mwili kuwa alkali (juisi na supu ya mboga zenye kiwango sahihi cha viungo)
Mpango wa kunywa bicarbonate ya soda kwa wiki, ukiwa na kiwango sahihi cha kila hatua (wiki 1 mpaka wiki 12)
Mapishi kamili ya chai ya mitishamba (turmeric, mdalasini, tangawizi, karafuu, habbatus sauda, moringa na pilipili manga) pamoja na maelekezo ya kuitengeneza na kuihifadhi
Mipango ya milo ya kifungua kinywa, chakula cha mchana na cha jioni iliyoundwa kuepuka vyakula vyenye potassium nyingi
Mwongozo huu unafaa kwa muda wa miezi mitatu, na kwa wagonjwa walio kwenye dialysis, unaweza kuendelea kutumika mpaka vipimo vionyeshe kuwa hawahitaji tena huduma hiyo.
Pakua sasa nakala yako ya kidijitali na anza safari ya kuponya na kulinda afya ya figo zako kwa njia ya asili.
Kumbuka: Mwongozo huu ni wa elimu ya afya asili na hauchukui nafasi ya ushauri wa daktari. Tunashauri kushirikiana na daktari wako wakati wa kutekeleza mpango huu, hususan kwa wagonjwa walio kwenye dialysis au wanaotumia dawa nyingine.
Wasiliana nasi: info@wellbizsolutions.co.site | +255754281131 / +255655281131