Your Cart
Loading

Grade 9 kiswahili lesson plans term 1

On Sale
KES999.99
Added to cart

Title: Grade 9 Kiswahili Lesson Plans – Term 1 | Maandalio ya Somo (Vipindi 48)

Maelezo:

Maandalio 48 ya somo ya Kiswahili Gredi ya 9, Muhula wa 1, tayari kufundishwa. Yameandikwa kwa Kiswahili sanifu, kwa muundo wa KICD, na kufuata mtaala rasmi wa Shule ya Junia. Kila kipindi kiko kwenye ukurasa mmoja wa A4, na kina matokeo maalum, swali dadisi, umilisi, maadili, masuala mtambuko, hatua za kipindi, tathmini na shughuli ya ziada.

Imeandaliwa na Tivan Educational Hub.


Weekly Packs

Title: Grade 9 Kiswahili Weekly Lesson Plans – Term 1

Maelezo:

Chagua wiki unayofundisha na upakue maandalio 4 ya somo ya Kiswahili Gredi ya 9 kwa muundo wa KICD, kila kipindi kwenye ukurasa mmoja. Unataka muhula mzima? Nunua Kifurushi cha Muhula Mzima kwa bei nafuu zaidi.

Imeandaliwa na Tivan Educational Hub.