Your Cart

SUICIDE

On Sale
$0.00
Free Download
Added to cart

Matukio ya watu kujiua yamekuwa yakiongezeka kila kukicha duniani. Na kitu cha kushangaza zaidi ni kuwa hata baadhi ya watu wenye maisha mazuri ya pesa na umaarufu, nao wamekuwa wakikatisha uhai wao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali ambazo nimeziainisha katika makala hii fupi. Ni matumaini yangu kuwa, baada ya kuisoma makala hii UTATAMBUA, UTASAIDIA na KUZUIA suicide.

You will get a PDF (3MB) file