Refer a friend and get % off! They'll get % off too.

Yonana Yenana

Napenda kuyachukulia mafanikio kama tabia ya mtu. Si tu kama kituo, ambacho unataka kufika. Si tu kama mwisho wa safari. Si tu kama mahali ambapo unapatamani, au unategemea kufika. Ukiyafanya mafanikio kuwa kama tabia, huitaji kusafiri, maana tayari yamekufikia.

Unachohitaji ni kujua ufanye nini, wapi, kwanini, kivipi na kwa muda gani. Na iwapo una subira na uvumilivu, mafanikio huwa ni sehemu ya maisha yako. Kwa Imani ya namna hii, ni kweli, unaweza kubadili maisha yako na kujiletea mafanikio unayo yataka, bila kujali ni mafanikio katika nyanja gani ya maisha.

Tunaposema kubadili maisha yako; tunamaanisha kubadili mtazamo wako, tabia yako, na namna ambavyo unapendelea kufanya mambo yako. Tukianzia na machache yafuatayo.

You will get a PDF (214KB) file

$ 5.00

Pay what you want:
(minimum $5.00)

$
Buy Now

Discount has been applied.

Added to cart