
JARIBU LA USHINDI
On Sale
$2.00
Martin Okafor aliyetokea familia ya maisha ya chini, anafanikiwa kusoma na kumaliza elimu yake ya msingi, sekondari na hatimaye chuo. Anafanikiwa kupata kazi anafanya kwa bidii hadi mwajiri wake anaamua kumsaidia mtaji ili akatimize ndoto zake. Na hapo ndipo majaribu yanapoanzia.
Karibu katika simulizi ya JARIBU LA USHINDI.
Karibu katika simulizi ya JARIBU LA USHINDI.