
Jinsi ya kuimarisha kinga za mwili kupitia chakula
Unahisi kuchoka mara kwa mara? , kuugua kila wakati?, Ebook hii ni mwongozo kamili wa lishe bora unaokusaidia kujenga kinga ya mwili kwa njia ya asili kupitia vyakula vya kawaida
Ndani ya ebook hii utakutana na
-vyakula 10 bora vya kuimarisha kinga ya mwili
-mpango wa mlo wa siku tatu kwa afya ya kudumu
-Sababu zinazodhoofisha kinga ya mwili
-Mbinu rahisi za maisha kwa afya ya kudumu
-Mwisho: hatua rahisi za kuchukua kila siku ili mwili wako uwe na kinga imara
Imeandikwa kwa kiswahili fasaha na rahisi kueleweka .
Inafaa kwa watu wote wanaotaka afya njema kila siku.
Bei ni USD 4.99(karibu TSH 13,000)
Pakua sasa na anza safari ya afya bora