
DR KIWASILA
Naitwa DR KIWASILA ni mshauri wa afya na lishe [HOLISTIC HEALTH AND NUTRITION CONSULTANT] nina shauklu kubwa ya kuwasaidia watu kuimarisha kinga ya miili yao kwa kutumia lishe sahihi, tiba rishe na maarifa sahihi yanayoweza kufanyika kwa urahisi nyumbani.
kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifanya tafiti mbalimbali pamoja na kushirikiana na wataalam mbalimbali wa afya na kugundua kuwa , kila mtu anaweza kuishi bila kusumbuliwa na magonjwa endapo tu atapata taarfa sahihi, na ndio maana nimekuwa nikishauri na kuandika vitabu kwaajili ya kusaidia jamii kuwa na uelewa wa afya.

Kuimariosha kina ya mwili Hakujawai kuwa rahisi Hivi!
Karibu katika ebook hii ya kipekee, utajifuinza njia rahisi na za asili za kuimarisha kinga ya mwili kwa kutumia lishe bora.
Tumeandaa mwongozo huu mahususi kwaajili yako ambaye unataka kuishi maisha yenye afya njema, kuzuia maradhi na kuwa na nguvu za kutosha kila siku - bila kutumia dawa kali au gharama kubwa
Ndani ebook utajifunza miongoni mwa mambo haya:
- Vyakula vinavyojenga kinga ya mwili kwa wepesi zaidi
- Ratiba ya lishe yenye kuimarisha afya
- Siri za virutubisho vya asili
- Mapishi rahisi ya kiafya
Hii ni zawadi botra kwa mwili wako - anza leo safari ya afya bora.